Posted at 1/13/2014 |  in
Michezo
 |
Kombe la Ballon d'Or
Katika hafla ya utoaji tuzo ya Ballon d'Or, nyota wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo ameibuka na kuwa mchezaji bora wa mwaka akiwaacha nyuma hasimu wake mkubwa Lionel Messi na Mfaransa Frank Ribery.
Ronaldo amevunja utawala aliouweka Messi baada ya kuchukua mara nne mfululizo, na kuonyesha furaha yake; nyota huyo wa Dunia alitoa machozi kwa uchungu.
|
About Naveed Iqbal
Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Follow him on Google+.
0 comments: