sir Alex Furguson na David Moyes: |
Manchester United yarejea relini jana baada ya kuipiga Swansea City bao 2 - 0. Kwa mujibu wa gazeti la the sunday people, shukrani zote ziende kwa sir Alex Furguson.
Bosi wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson aliendesha kikao kifupi na David Moyes baada ya kichapo cha wiki iliyopita Old Trafford dhidi ya Swansea.
Alimwamwambia Moyes kibarua chako kiko salama na unaungwa mkono na familia ya - Glazer; utaongezewa kitita kwa ajili ya usajili ili kuimarisha kikosi.
Alex Furguson alisafiri na kikosi kilichopigwa na Sunderland 2 - 1
0 comments: