Kiungo wa Manchester United,Anderson akwea pipa kuelekea Italia kufanya vipimo na timu ya Fiorentina. Anderson amekosa imani ya kocha David Moyes na amecheza mechi nne tu katika msimu huu wa Ligi kuu ya Uingereza.
Timu ya Manchester United imemruhsu kiungo huyo waliyemng'oa toka Porto kwa ada ya uhamisho paundi milioni 20 mwaka 2007, akafanye vipimo na miamba hiyo ya Italia ili ajiunge nao kwenye dirisha dogo la usajili kwa mkopo.
Habari kwa hisani ya Gazeti la Daily mirror.
Habari kwa hisani ya Gazeti la Daily mirror.
Bora aende kwingineko akatafute namba, maana sasa anaweza akaota kutu mwisho wa siku kiwango kikaisha moja kwa moja.
ReplyDelete