Nemanja Matic: |
Nemanja Matic aliyetumikia timu ya Chelsea miaka miwili kabla ya kutimikia Benifica ya Ureno 201,1 anarudi tena Chelsea kwa mara nyingine.
Ripoti kutoka ureno zinasema kwamba Chelsea itatoa kitita cha paundi milioni 25 pamoja na kumtoa Gael Kakuta kwa mkopo ili kumrudisha Mserbia huyo mwenye umri wa miaka 25 Darajani.
Matic amedhibitisha kuwa mchezo uliopita dhidi ya FC Porto ndo ulikuwa wa mwisho kwake akiwa na sare ya Benifica.
Aliliambia gazeti la A Bola: "Mchezo dhidi ya FC ulikuwa wa mwisho nikiwa na
Benfica".
"Nawashukuru wote, mashabiki na kila mtu,daima nitaipenda Benifica. Nimeamua kuondoka kwani ndio wakati mwafaka"
0 comments: