Vito Mannone ameibuka kuwa shujaa mkubwa mbele ya maelfu ya mashabiki waliokuwa Old Traford baada ya kupangua michomo miwili ya penaiti.
Manchester United na Sunderland wamejikuta wakiamuliwa na matuta baada ya kulingana magoli 3 - 3.
Sunderland wanaelekea Wembley baada ya kuweka nyavuni mikwaju 2 dhidi ya 1 wa Manchester united.
Craig Gardner - Sun - Alipiga nje
Danny Welbeck - Man - alipiga nje
Fletcher - Sun - Degea alidaka
Flecher - Man - alipata
Alonso - sun - alipata
Januzaj - Man - Mannone alidaka
Ki - Sun - alipata
Phil Jones - Man - alipiga nje
Adam Johnson - Sun - Degea alidaka
Rafael - Man - Mannone alidaka
0 comments: