Van persie kurudi kuongeza chachu mechi watakayocheza na Chersea |
Wingu zito likiwa limetanda Manchester United, hatimae David Moyes ametoa habari njema kwa mashabiki wa mashetani wekundu; baada ya mshambuliaji wao Robin Van Persie kurudi rasmi mazozini.
Hata hivyo Van Persie hatocheza mchezo unaofata dhidi ya Swansea na badala yake atakuwa fiti kucheza mchezo dhidi ya Chelsea.
Van Persie alikuwa nje mwezi mzima baada ya kuumia paja.
0 comments: