Kituko kimetokea jana usiku katika jiji la manchester baada ya shabiki mmoja wa mashetani hao aliyekuwa amelewa kupiga simu polisi (999) na kuomba kuongea na Alex Furguson
Tukio hilo lilitoke baada ya Manchester kutolewa nje ya mashindano ya Capital One Cup.
Hakuambulia kuongea na Furguson badala yake alielezwa apige simu katika klabu ya Manchester
0 comments: