Kocha wa Arsenal Arsene Wenger haamini kinachotokea kwa Chelsea kumuuzi Man U Juan Mata.
Wenger haamini kama Morihno anaweza kuwauzia mahasimu wake kiungo Juan Mata.
Inamlazimu mfaransa huyo kuamini kwamba tukio hilo litakua ni mwendelezo wa Kocha wa Chelsea Jose Morihno kutumia mbinu chafu za kuizuia Arsenal.
Kimsingi Chelsea ameshacheza na Man U mechi zote, ila Man U bado hajacheza na Arsenal mechi moja.
Kama habari za Mata kutua Man zitakuwa za kweli basi kuna kila uwezekano wa Mata kucheza dhidi ya Arsenal akiwa na jezi ya United.
Hivyo kwa mujibu wa Wenger, huenda Morihno anapenda Man U wamsaidie kazi ya kuisimamisha Arsenal.
0 comments: