Hatimae Chelsea wamekubali kumwachia Juani Mata kwa kitita cha paundi milioni 37 aelekee Manchester united.
Mazungumzo ya baina ya Chelsea na United yakiwa yamefanyika tangu jumatatu, kiungo juan mata atanya vipimo kesho alhamisi na kuanza kazi rasmi United kwa malipo ya paundi 70,000 kwa wiki.
Hata hivyo linabaki sakata la mshambuliaji aliyeishiwa furaha dhidi ya mwenendo wa timu, Wyne Rooney; baada ya kuweka wazi adhma yake ya kuondoka Old Traford.
0 comments: