Mario Mandzukic, mshambuliaji wa Bayern Munich |
Arsene Wenger anaiyemelea saini ya mfumania nyavu wa mabingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya Bayern Munich's Mario Mandzukic.
Kwa mujibu wa gazeti la Dail mail,mshambuliaji huyo anafuatiliwa sana na washika bunduki wa London. Hali inaonekana itakuwa mbaya kwa Mandzukic baada ya Guardiola kumnyatia Robert Lewandowski. Hivyo inaonekana Mandzukic atajitumbukiza mwenyewe baharini kabla hajatumbukizwa kwani atakuwa chaguo la tatu kama Lewandowski atasajiliwa.
0 comments: