Jan 5, 2014

Theo Walcot huenda akachezea kirungu cha FA

Posted at  1/05/2014  |  in  Michezo

Mchezaji wa Arsenal
Mchezaji wa Arsenal Theo Walcot

Theo Walcott anaweza akakumbwa na adhabu ya Shirikisho la soka Uingereza (FA) baada ya kutoa ishara ya vidole kwa mashabiki wa Totenham. Ametoa ishara hizo ikiwa anabebwa kutolewa nje ya uwanja baada ya kuumia goti.
Katika mcezo huo Arsenal ilishinda 2 - 0.

Share this post

About Naveed Iqbal

Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Follow him on Google+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 mchambuzi@habari online. Blogger Template by Bloggertheme9
Proudly Powered by Blogger.
back to top