Mshambuliaji wa Manchester United, Javier Hernrndez (Chicharito); ameomba kuondoka Manchester Unietd.
Siku moja baada ya Man U kuondolewa kwenye mashindano ya Capital One cup, Chicharito aomba kuondoka aende kwingine ili apate nafasi ya kucheza.
Hernendez ni chaguo la ni chaguo la nne la David moyes baada ya Van Persie, Wyne Rooney na Danny Welbeck.
0 comments: