Jan 16, 2014

Ozil mchezaji pekee uingereza timu ya mwaka ya Uefa.com 2013

Posted at  1/16/2014  |  in  Michezo

Timu ya Mwaka Uefa 2013
Mesut Ozili,kiungo wa Arsenal:

Ozil ni mmoja kati ya wachezaji 8 wa ligi kuu ya Uingereza waliopigiwa kura kuingia katika timu ya Uefa.com ya mwaka 2013.
Hata hivyo ni yeye pekee katika hao aliyebahatika kuingia kwenye timu hiyo pamoja na mchezaji wa Tottenham wa zamani Gareth Bale ambaye kwa sasa yuko timu ya Real Madrid.
Wachezaji walipigiwa kura kutoka katika wachezaji 40 waliochagu na Uefa.com. 
Mashabiki waliopiga kura walikuwa zaidi ya 525,000 na kupiga zaidi ya kura 6,310,237.
Kwa mujibu wa uefa.com ifuatayo ndiyo timu ya mwaka 2013.
Goalkeeper: Manuel Neuer (Bayern Munich & Germany)
Defender: Philipp Lahm (Bayern Munich & Germany)
Defender: Thiago Silva (Paris Saint-Germain & Brazil)
Defender: Sergio Ramos (Real Madrid CF & Spain)
Defender: David Alaba (Bayern Munich & Austria)
Midfielder: Gareth Bale (Tottenham Hotspur/Real Madrid & Wales)
Midfielder: Marco Reus (Borussia Dortmund & Germany)
Midfielder: Mesut Ozil (Real Madrid/Arsenal FC & Germany)
Midfielder: Franck Ribéry (Bayern Munich & France)
Forward: Zlatan IbrahimoviÄ? (Paris Saint-Germain & Sweden)
Forward: Cristiano Ronaldo (Real Madrid & Portugal)

Share this post

About Naveed Iqbal

Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Follow him on Google+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 mchambuzi@habari online. Blogger Template by Bloggertheme9
Proudly Powered by Blogger.
back to top