Jan 31, 2014

Arsenal yamsajili Kim Kallstrom

Posted at  1/31/2014  |  in  Michezo

Picha ya Kim kallstrom akiwa amevalia jezi ya Arsenal

Klabu ya Arsenal imenyakua sahihi ya kiungo mshambuliaji wa timu ya Spartak Moscow.

Mkataba huo utamuona Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 31 akiitumikia Arsenal hadi mwisho wa msimu huu.

Share this post

About Naveed Iqbal

Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Follow him on Google+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 mchambuzi@habari online. Blogger Template by Bloggertheme9
Proudly Powered by Blogger.
back to top