Beki wa pembeni wa timu ya Arsenan Bacary Sagna, anajiandaa kuondoka Arsenal mwisho wa msimu huu.
Mkataba wa Sagna unaisha mwishoni mwa msimu huu na maongezi ya kuongeza mkataba bado yanasuasua.
Timu ya Arsenal ina utaratibu wa kumwongezea mkataba wa mwaka mmoja mchezaji mwenye umri wa miaka thelathini na kuendelea, Bacary Sagna anaomba kuongezewa miaka mitatu na Arsenal iko tayari kuongeza miaka miwili.
Kama iwapo hawatoafikiana basi sagna taondoka bila ada yoyote ya uhamisho
0 comments: