Posted at 1/13/2014 |  in
Michezo
|
cristiano Ronaldo akiwa na Pele wakati akipokea tuzo ya Ballon d'Or 2013:
Cristiano Ronaldo amevunja utawala wa miaka minne wa Lionel Messi baada ya kutunikiwa tuzo ya ushindi wa FIFA Ballon d'Or leo huko Zurich.
Nyota huyo wa Real Madrid na ureno amekuwa akipewa upatu mkubwa wa kushinda tuzo hizo na kuwashinda wapinzani wake Messi wa Barcelona mshindi wa miaka minne mfululizo na Mfaransa Franck Ribery.
Kutokana na furaha iliyomzidi ya kupata tuzo hiyo ya Ballon d'Or 2013,alidondosha machozi kwa furaha.
|
About Naveed Iqbal
Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Follow him on Google+.
0 comments: