Ilkay Gundogan |
Manchester United wako tayari kuweka mezani paundi milioni 24 ili Ilkay Gundogan atue Jiji la Manchester.
David Moyes ni mpenzi wa kiungo huyo na anamfatilia kwa makini sana ili kumnasa Gundogan mwenye umri wa miaka 23.
Gundogan amebakiza miezi 18 katka mkataba wake na Dortmund iko tayari kumuongezea mkataba kama wataafikiana katika mazungumzo yao.
Hata hivyo Gundogan hajacheza toka mwezi wa 8 kutokana na maumivu ya mgongo,ila hilo haliwazuii United kuendelea kumfukuzia.
0 comments: