Jana first lady wa Marekani Michelle Obama alisherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa nafikisha umri wa miaka 50,na usiku leo Rais Barack Obama atamfanyia mkewe sherehe anayosadikiwa imelenga kuyaweka vizuri mahusiano yao yaliyoyumba.
Kwa mujibu wa mail online ,watu wa karibu na familia hiyo walitumiwa barua pepe kuwakaribisha katika sherehe ya wananandoa hao.
Habari zinasema kwamba mke wa obama hakupendezwa na mumewe kuweka pozi kupiga picha na waziri mkuu wa Denmark mama Helle Thorning-Schmidt katika msiba wa Nelson Mandela.
Habari zilizoenea zaidi zinasema kuwa hasahasa kilichomuudhi Michelle ni kumuona Obama ana ukaribu wa hali ya juu na waziri mkuu huyo,hali iliyomfanya kujiona kudharirika mbele ya dunia.
Habari kutoka Right Wing News zinasema kwamba, Michelle Obama anavumilia kuishi naye akiwa ikulu na muda wake wa uraisi ukiisha kila mtu anaishi maisha yake kivyake.
0 comments: