Jan 13, 2014

Samir Nasri ahofia kukosa fainali za kombe la dunia Brazil 2014

Posted at  1/13/2014  |  in  Michezo

Man City v Newcastle
Kiungo wa Man City Samir Nasri

Kiungo Mfaransa anasakata kandanda katika timu ya Manchester City Samir Nasri, aingiwa na hofu ya kutotimiza ndoto zake za kucheza fainali za kombe la dunia zitakazochezwa nchini Brazi mwaka huu.
Jana katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya timu ya Newcastle United, Samil Nasri alipata majeraha ya goti na kufanyiwa vipimo leo katika hospitali ya Bridgewater.
Bosi wa Manchester City Manuel Pellegrini atatatoa tamko kesho juu ya hali ya Nasri na atakaa nje kwa muda gani. Habari hiyo inaweza kumanisha kuwa msimu wake wa ligi kuu Uingereza 2013/2014 utakua umekwisha na ndoto za kucheza kombe la dunia kuota mbawa. 
Samir Nasri aliumizwa jana na na mchezaji wa Newcastle Mapou Yanga Mbiwa, hata hivyo Mancity United ilishinda mchezo kwa 2 - 0.

Share this post

About Naveed Iqbal

Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Follow him on Google+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 mchambuzi@habari online. Blogger Template by Bloggertheme9
Proudly Powered by Blogger.
back to top