Theo walcot |
Theo Walcott ana wasiwasi huenda akawa hana bahati ya kucheza kombe la dunia.
Amewaeleza familia na rafiki zake baada ya kupata adha ya kuumia goti katika mchezo wa FA dhidi ya Tottenham. Hilo limekuja baada ya kumbukumbu za kuumia mwaka 2006 akiwa na miaka 17 na kusababisha asiitwe kwenye timu ya taifa iliyocheza huko Ujerumani wakiwa chini ya Fabio Capello. Bado hakucheza 2010 Afrika ya kusini kwa sababu ya majeruhi.
Alitegemea huenda hii ikawa ni nafasi yake lakini ameumia pia na atakuwa nje kwa miezi sita. Hana uhakika kama atacheza kombe la dunia lijalo litakalochezwa Urusi ambapo atakuwa na miaka 29.
0 comments: