Jan 13, 2014

Cristiano Ronaldo Mshindi tuzo ya Ballon d'Or 2013

Posted at  1/13/2014  |  in  Michezo

mshindi wa tuzo za ballon d'Or 2013
cristiano Ronaldo akiwa na Pele wakati akipokea tuzo ya Ballon d'Or 2013:

Cristiano Ronaldo amevunja utawala wa miaka minne wa  Lionel Messi baada ya kutunikiwa tuzo ya ushindi wa  FIFA Ballon d'Or leo huko  Zurich.
Nyota huyo wa  Real Madrid na ureno amekuwa akipewa upatu mkubwa wa kushinda tuzo hizo na kuwashinda wapinzani wake Messi wa Barcelona mshindi wa miaka minne mfululizo na Mfaransa Franck Ribery. 
Kutokana na furaha iliyomzidi ya kupata tuzo hiyo ya Ballon d'Or 2013,alidondosha machozi kwa furaha.


Share this post

About Naveed Iqbal

Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Follow him on Google+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 mchambuzi@habari online. Blogger Template by Bloggertheme9
Proudly Powered by Blogger.
back to top