• HABARI MPYA

    Obama na Putin wajadiliana kuhusu Ukraine

  • HABARI MPYA

    Jack Wilshere nje wiki sita

  • MAKALA

    Cancer in relation to Herat Attack

  • MAKALA

    Diabetes Remedy

  • Dec 31, 2013

    Kocha wa arsenal
    Arsene Wenger kocha wa timu ya Arsenal

    Kocha Arsene Wenger amekiri kuwepo kwa janga la majeruhi Arsenal.Na ameongeza kuwa hali hiyo itaathiri mchezo unaofuata dhidi ya Cardiff City siku ya jumatano.

    arsenal yaandamwa na janga la majeruhi

    Posted at  12/31/2013  |  in  Michezo  |  Read More»

    Kocha wa arsenal
    Arsene Wenger kocha wa timu ya Arsenal

    Kocha Arsene Wenger amekiri kuwepo kwa janga la majeruhi Arsenal.Na ameongeza kuwa hali hiyo itaathiri mchezo unaofuata dhidi ya Cardiff City siku ya jumatano.

    0 comments:

    Dec 30, 2013

    Mchezaji wa Arsenal Searg Nabri
    Kiungo wa Arsenal Searg Nabri

    Boss wa Wigan  Uwe Rosler, anamuhitaji kiungo Mjerumani wa Arsenal  Gnabry. Hilo limekuja baada ya kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Low kudai kwamba kijana huyo mwenye umri wa mika 18 anafuatiliwa vilivyo ili ikiwezekana ajumuishwe kwenye kikosi cha kombe la dunia 2014. Hivyo anahitaji kucheza michezo mingi. Hivyo Boss wa Wigan  Uwe Rosler anadhani anaweza kuipata saini ya kinda huyo kwa mkopo dilisha dogo la usajili januari.

    tetesi za usajili ligi kuu England: soma hapa ;

    Posted at  12/30/2013  |  in  Michezo  |  Read More»

    Nembo ya dar es salaam young Africans

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Yanga, mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji na mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya kimataifa, Seif Ahmed ‘Magari’ walikwea pipa kuelekea mjini London kwa ajili ya kusaka kocha mpya wa timu hiyo Yanga.

    yanga kusajili kocha mwingereza

    Dec 29, 2013

    Olivier Gilord akishangilia bao la pekee katka mchezo wa newcastle na arsenal
    Oliver Gilroud akishangilia goli lake la pekee katka mchezo wa ligi kuu uingereza baina ya  Newcastle na Arsenal

    Bao la pekee la Olivier Giroud dhidi ya Newcastle limetosha kuirudisha Arsenal kileleni mwa ligi kuu ya uingereza.
    Arsenal walicheza bila ya kuwepo Mesut Ozil, ila  Jack Wilshere na Laurent Koscielny walirejea kikosini. Alan Pardew, alimuanzisha Cheick Tiote na kumwacha Hatem Ben Arfa nje.

    arsenal yaipiga newcastle 1 - 0

    Posted at  12/29/2013  |  in  Michezo  |  Read More»

    mchezaji wa hull city tom huddlestone
    kiungo wa Hull City Tom Huddleston akinyolewa nywele na daktari wa timu Rob Price baada ya kuifungia timu yake goli

    Kiungo wa Hull City  Tom Huddlestone hatimaye alivunja ukame wake wa kupachika mabao, na kuamua kukata nyele zake.
    Mchezaji huyo wa zamani wa Spurs alikuwa hajaziona nyavu kwa zaidi ya mwaka mpaka jana katika mchezo dhidi ya  Fulham, kutokana na ukame huo aliahidi kutonyoa nywele zake mpaka pale atakapofunga bao.

    Baada ya kufunga goli jana katika uwanja wa KC alikimbia moja kwa moja kwenye benchi la ufundi na kumwomba daktari wa timu Rob Price amnyoe nyele kidogo kutumia mkasi wa kufanyia upasuajia.
    Hata hivyo goli hilo lilikuwa kama zawadi yake ya siku ya kuzaliwa kwani jana alifikisha miaka 26.
    Hull iliipiga Fulham magoli 6 - 0.
    mchezaji wa hull city tom huddlestone
    Wachezaji wa timu ya Hull City wakishangilia goli lililopachikwa na Tom Huddlestone 

    TOM HUDDLESTONE ANYOA NYWELE ZAKE BAADA YA KUMALIZA UKAME WA MABAO

    Dec 27, 2013

    jengo la ikulu ndogo zanzibar ilioko zanzibar mjini magharibijengo la ikulu ngodo zanzibar ilioko kiwebi wilaya ya magharibi

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Rasimu ya Mahakama ya Kadhi imekamilika na inatazamiwa kuwasilishwa katika ngazi za makatibu wakuu kabla ya kufikishwa  kwenye Baraza la Mapinduzi.

    RASIMU YA MAHAKAMA YA KADHI ZANZIBAR KUWASILISHWA

    Posted at  12/27/2013  |  in  Habari  |  Read More»

    jengo la ikulu ndogo zanzibar ilioko zanzibar mjini magharibijengo la ikulu ngodo zanzibar ilioko kiwebi wilaya ya magharibi

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Rasimu ya Mahakama ya Kadhi imekamilika na inatazamiwa kuwasilishwa katika ngazi za makatibu wakuu kabla ya kufikishwa  kwenye Baraza la Mapinduzi.

    0 comments:

    Dec 26, 2013

    wachezaji wa manchester united wakishangilia ushindi
    Klabu ya Manchester United imetoka nyuma kwa mabao mawili na kushinda 3-2 dhidi ya Hull City Uwanja wa KC, huku mchezaji wa zamani wa Mashetani hao Wekundu James Chester akijifunga kuamua mshindi.Chester alitangulia kuifungia Hull dakika ya nne, Meyler akafunga la pili dakika ya tatu na Man United ikazinduka na kupata bao la kwanza dakika ya 19 kupitia kwa Smalling, pasi ya Rooney aliyefunga la kusawazisha dakika ya 26.Man United ilijihakikishia pointi tatu dakika ya 66 baada ya Chester kujifunga. 

    Katika mchezo mwingine, bao pekee la Edin Hazard dakika ya 29 liliiipa ushindi wa 1-0 Chelsea dhidi ya Swansea Uwanja wa Stamford Bridge.

    Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya West Ham United Uwanja wa Boleyn, mabao ya Theo Walcott dakika ya 68 na 71 na Lukas Podolski dakika ya 69. Bao pekee la West Ham limefungwa na Cole dakika ya 46.

    shambuliaji wa arsenal lucas podolski akishangilia ushindi

    Aston Villa imefungwa 1-0 na Crystal Palace, Cardiff City imefungwa 3-0 na Southampton, Everton imefungwa 1-0 nna Sunderland, Newcastle United imeifumua 5 - 1 Stoke City, Norwich City imefungwa 2-1 na Fulham na Tottenham Hotspur imetoka sare ya 1 - 1 na West Bromwich.

    MAN UNITED ,ARSENAL NA CHELSEA ZAENDELEZA UBABE

    Posted at  12/26/2013  |  in  Michezo  |  Read More»

    picha ya waziri mkuu pinda akiwa bungeni
    Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu amesema atazungumzia hatima yake baada ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

    Pinda Kuvunja Ukimya Baada ya Sikukuu

    Posted at  12/26/2013  |  in  Habari  |  Read More»

    picha ya waziri mkuu pinda akiwa bungeni
    Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu amesema atazungumzia hatima yake baada ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

    0 comments:

    About-Privacy Policy-Contact us
    Copyright © 2013 mchambuzi@habari online. Blogger Template by Bloggertheme9
    Proudly Powered by Blogger.
    back to top