Jan 16, 2014

Uefa: Lionel Messi nje timu ya mwaka 2013.

Posted at  1/16/2014  |  in  Michezo

timu ya mwaka ya Uefa
Mchezaji wa Barcelona Lionel Messi:

Mkosi wazidi kumuandama mchezaji wa nyota wa Barcelona Lionel Messi baada ya kukosa kuingia katika timu ya mwaka ya Uefa wiki hiyohioy aliyokosa tuzo ya Ballon d'Or.
Messi mwenye umri wa miaka 26 alishika nafasi ya 13 katika kura zilizopigwa na mashabiki wa soka na huku hasimu wake Cristiano Ronaldo akiingia sasa kwa mara ya saba mfululizo.
Timu ya Uefa ya mwaka 2013
Goalkeeper: Manuel Neuer (Bayern Munich & Germany)
Defender: Philipp Lahm (Bayern Munich & Germany)
Defender: Thiago Silva (Paris Saint-Germain & Brazil)
Defender: Sergio Ramos (Real Madrid CF & Spain)
Defender: David Alaba (Bayern Munich & Austria)
Midfielder: Gareth Bale (Tottenham Hotspur/Real Madrid & Wales)
Midfielder: Marco Reus (Borussia Dortmund & Germany)
Midfielder: Mesut Ozil (Real Madrid/Arsenal FC & Germany)
Midfielder: Franck Ribéry (Bayern Munich & France)
Forward: Zlatan IbrahimoviÄ? (Paris Saint-Germain & Sweden)
Forward: Cristiano Ronaldo (Real Madrid & Portugal)

Share this post

About Naveed Iqbal

Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Follow him on Google+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 mchambuzi@habari online. Blogger Template by Bloggertheme9
Proudly Powered by Blogger.
back to top