• HABARI MPYA

    Obama na Putin wajadiliana kuhusu Ukraine

  • HABARI MPYA

    Jack Wilshere nje wiki sita

  • MAKALA

    Cancer in relation to Herat Attack

  • MAKALA

    Diabetes Remedy

  • Jan 31, 2014

    Arsenal yamsajili Kim Kallstrom

    Posted at  1/31/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Klabu ya Arsenal imenyakua sahihi ya kiungo mshambuliaji wa timu ya Spartak Moscow. Mkataba huo utamuona Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 31 akiitumikia Arsenal hadi mwisho wa msimu hu...

    0 comments:

    Jan 30, 2014

    Tanzania: rais Kikwete hakuwa na mazungumzo na viongozi wa waasi wa Rwanda

    Posted at  1/30/2014  |  in  Habari  |  Read More»

    Serikali ya Tanzania kupitia ubalozi wake nchini Rwanda imekanusha taarifa zilizocahpishwa na gazeti moja la serikali nchini humo likimtuhumu rais Jakaya Kikwete kuwa na mazungumzo ya siri na viongozi wa kundi la waasi wa FDLR. kwenye...

    0 comments:

    Justin Bieber afunguliwa mashtaka

    Posted at  1/30/2014  |  in  Burudani  |  Read More»

    Mwanamziki mashuhuri wa muziki wa 'pop' kutoka Canada Justin Bieber amefunguliwa mashtaka ya kumpiga dereva wa gari la kifahari la kukodisha mwezi Disemba mwaka uliopita. Bwana Bieber aliye na umri wa miaka 19 alikaribishwa katika katika...

    0 comments:

    Mata: the next Manchester United win will be crutial

    Posted at  1/30/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Juan Mata has wasted no time in settling in at Manchester United after the Spanish star was spotted house hunting on Wednesday afternoon. Just 24 hours after making his debut in the 2-0 win against Cardiff City, United's club-record...

    0 comments:

    Jan 29, 2014

    Transfer news: PSG confirm signing of Newcastle's Yohan Cabaye for around £20m

    Posted at  1/29/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    The France midfielder, 28, has signed a three-and-a-half-year contract with the Ligue 1 giants. "I am very, very happy to return to France," said Cabaye, who made 79 Premier League appearances for Newcastle, scoring 17 goals. "The offer...

    0 comments:

    Jan 26, 2014

    Timu zinazokutana raundi ya 5 FA : tazama hapa!

    Posted at  1/26/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Cardiff vs Wigan Sheffield Wednesday vs Charlton Sunderland vs Southampton Everton vs Swansea Man City vs Chelsea Sheffield United/Fulham vs Nottingham Forest/Preston Arsenal vs Liverpool Brighton vs Hull...

    0 comments:

    DRC: Ghala la silaha laliipuka na kuua 20

    Posted at  1/26/2014  |  in  Habari  |  Read More»

    Watu 20 wanahofiwa kufariki kutokana na mlipuko katika ghala la silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Vikosi vya kulinda amani vya umoja wa mataifa nchini humo ,vimesema kuwa nyumba nyingi zilaharibiwa wakati wa mlipuko huo...

    0 comments:

    Arsenal to bid the Bayern Munich' out favoured Mario Mandzukic

    Posted at  1/26/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    According to the METRO,Arsenal are set to snatch the Bayern  Munich hit maker Mario Mandzukic. The Gunners have been linked with a move for Croatian hitman Mandzukic, with Arsene Wenger short on options up front. But the deal...

    0 comments:

    Jan 24, 2014

    Michael Essien atimkia AC Millan

    Posted at  1/24/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Kiungo Mghana wa Chelsea Michael Essien, amemwaga wino kukipiga na klabu ya AC Millan ya Serea A. Akiondoka kwa uhamisho wa bure, amekuwa mchezaji wa kwanza kusainiwa na kocha mpya wa AC Millan Clarence Seedorf kuichezea AC Millan kwa...

    0 comments:

    Jan 23, 2014

    Javier Hernendez kuondoka Manchester United

    Posted at  1/23/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Mshambuliaji wa Manchester United, Javier Hernrndez (Chicharito); ameomba kuondoka Manchester Unietd. Siku moja baada ya Man U kuondolewa kwenye mashindano ya Capital One cup, Chicharito aomba kuondoka aende kwingine ili apate nafasi...

    0 comments:

    Brazil 2014: Pitbull, J-Lo and Leitte to bring official World Cup song

    Posted at  1/23/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    FIFA says Jennifer Lopez will team with rapper Pitbull and Brazilian singer Claudia Leitte to perform the official World Cup song for this year's tournament. Soccer's governing body made the announcement Thursday but didn't say when "We...

    1 comments:

    Kituko cha mwaka: Shabiki wa Manchester United apiga 999 na kuomba kuongea na Furguson

    Posted at  1/23/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Kituko kimetokea jana usiku katika jiji la manchester baada ya shabiki mmoja wa mashetani hao aliyekuwa amelewa kupiga simu polisi (999) na kuomba kuongea na Alex Furguson Tukio hilo lilitoke baada ya Manchester kutolewa nje ya mashindano...

    0 comments:

    Wenger: Kumuuza Juan Mata Manchester United, ni mbinu chafu za Morihno kuizuia Arsenal

    Posted at  1/23/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Kocha wa Arsenal Arsene Wenger haamini kinachotokea kwa Chelsea kumuuzi Man U Juan Mata. Wenger haamini kama Morihno anaweza kuwauzia mahasimu wake kiungo Juan Mata. Inamlazimu mfaransa huyo kuamini kwamba tukio hilo litakua ni mwendelezo...

    0 comments:

    Negredo the new episode of Manchester stars series

    Posted at  1/23/2014  |  in  Makala  |  Read More»

    News as to Dail mail online news, by Lee Clayton. The Premier League years have thrown up some remarkable specimens. Some fine players, too. Indulge me for a moment: there has been David Beckham, David Ginola, Thierry Henry, Gareth...

    1 comments:

    Jan 22, 2014

    Sunderland yaitoa Manchester United nusu fainali Capital One Cup

    Posted at  1/22/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Vito Mannone ameibuka kuwa shujaa mkubwa mbele ya maelfu ya mashabiki waliokuwa Old Traford baada ya kupangua michomo miwili ya penaiti. Manchester United na Sunderland wamejikuta wakiamuliwa na matuta baada ya kulingana magoli 3 - 3. Sunderland...

    0 comments:

    Hatimae Juan Mata atua Manchester United

    Posted at  1/22/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Hatimae Chelsea wamekubali kumwachia Juani Mata kwa kitita cha paundi milioni 37 aelekee Manchester united. Mazungumzo ya baina ya Chelsea na United yakiwa yamefanyika tangu jumatatu, kiungo juan mata atanya vipimo kesho alhamisi na...

    0 comments:

    Angalia picha za Jack Bauer akirekodi mwendelezo wa 24 Hours'

    Posted at  1/22/2014  |  in  Burudani  |  Read More»

    ...

    3 comments:

    Jan 21, 2014

    Man United arrange £37million bid to land in juan Mata

    Posted at  1/21/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    According to the Daily Mirror , the champions ARE preparing a £37million bid to land the Blues misfit. David Moyes' response to the defeat at Stamford Bridge on Sunday which left the champions 14 points adrift of leaders Arsenal and...

    0 comments:

    Jan 20, 2014

    Orodha ya waigizaji 10 matajiri duniani hii hapa!!

    Posted at  1/20/2014  |  in  Burudani  |  Read More»

    Kwa mujibu wa LIST DOSE, hawa ndio waigizaji wakubwa duniani 2013;kulingana na kipato wanachomiliki. 10. Robert De Niro- $185 Million 9. Salman Khan- $200 Million 8. Will Smith- $200 Million 7. Leonardo DiCaprio- $215 Million 6....

    0 comments:

    Picha za mwanamuziki Rihanna akiwa nusu uchi:tazama hapa

    Posted at  1/20/2014  |  in  Udaku  |  Read More»

    Mwanamuziki Rihana, alionekana akipiga picha za nusu uchi akiwa na rafiki zake katka mji wa maraha Rio. ...

    0 comments:

    Red wine and chocolate as diabetes remedy.

    Posted at  1/20/2014  |  in  Makala  |  Read More»

    A study found for the first time the high content of flavonoids found in berry fruits may regulate blood glucose levels, and stave off type 2 diabetes. Flavonoids are antioxidant compounds found in plants, as well as tea, red wine...

    1 comments:

    Jan 19, 2014

    Tajiri wa kichina Wang Jianlin kuifanya Southampton timu tajiri zaidi ligi kuu ya Uingereza

    Posted at  1/19/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Tajiri kuliko wote nchini China Wang Jianlin, ajiandaa kuweka mezani kitita ili kuinyakua Southampton. Ikiwa atafanikiwa basi itamaanisha Nicola Cortese atarudi Southampton kama mwenyekiti wa klabu hiyo. Inasemekana meneja wa klabu...

    0 comments:

    Bacary Sagna ajiandaa kuondoka Arsenal

    Posted at  1/19/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Beki wa pembeni wa timu ya Arsenan Bacary Sagna, anajiandaa kuondoka Arsenal mwisho wa msimu huu. Mkataba wa Sagna unaisha mwishoni mwa msimu huu na maongezi ya kuongeza mkataba bado yanasuasua. Timu ya Arsenal ina utaratibu wa kumwongezea...

    0 comments:

    Jan 18, 2014

    Mwanamuziki Kanye West kufunga ndoa na Kim Kardashian.

    Posted at  1/18/2014  |  in  Burudani  |  Read More»

    Nyota wa muziki wa mtindo wa kufokafoka Kanye West na mwanamitindo Kim Kardashian wanatarajia kufunga ndoa miezi michache ijayo. Hilo limethibitishwa na Kim Kardashian katika kipindi cha runinga kinachoendeshwa na Ellen DeGeneres. Katika...

    0 comments:

    Page 1 of 2412345Next
    About-Privacy Policy-Contact us
    Copyright © 2013 mchambuzi@habari online. Blogger Template by Bloggertheme9
    Proudly Powered by Blogger.