Feb 1, 2014

Tanzania: Wabunge wajiongezea marupurupu!

Posted at  2/01/2014  |  in  Habari

Picha ya Bunge la Tanzania

Kumekuwa na ghadhabu nchini Tanzania kufuatia uamuzi wa wabunge kujiongeza maelfu ya dola kama marupurupu.
Pesa hizo wanasema ni mkono wa kwaheri.
Marupurupu hayo yatatolewa kwa kila mbunge wa bunge la Tanzania lenye wabunge 357 wakati watakapokamilisha muhula wao wa tano kama wabunge.
Kila mbunge nchini Tanzania, hupokea mshahara wa dola elfu saba kila mwezi.
Wakiongea na BBC Wakazi wa mji mkuu Dar es Salaam walionesha kushtushwa sana na marupurupu hayo hasa baada ya kuambiwa na serikali kuwa hakuna pesa za kutosha kwa matumizi ya huduma za jamii.

Share this post

About Naveed Iqbal

Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Follow him on Google+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 mchambuzi@habari online. Blogger Template by Bloggertheme9
Proudly Powered by Blogger.
back to top