Santi Cazorla is set to become the third senior Arsenal player to agree a new contract.
The Spain midfielder has been in talks with club chiefs about signing an improved deal that will keep him at the Emirates Stadium until 2017 - his...
Kocha wa timu ya Chelsea ya England, Jose Mourinho ameshutumu tabia ya kurekodi kwa siri mazungumzo yake kuhusu wachezaji wa timu hiyo.
Mourinho amesema lilikuwa jambo la aibu kuona kwamba mazungumzo binafsi kuhusu wachezaji wa timu...
Wanamgambo wa Kiislam wa kundi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria wametuhumiwa kushambulia shule moja na kuwaua wanafunzi kadhaa.
Polisi nchini Nigeria wameliambia Shirika la Habari la Uingereza, Reuters kwamba wote waliouawa...
Maelfu ya watu wa Zimbabwe wamehudhuria sherehe rasmi za siku ya kuzaliwa Rais Robert Mugabe.
Bwana Mugabe ambaye ameongoza nchi tangu mwaka wa 1980, alipeperusha mabofu 90 katika uwanja wa michezo wa Marondera, mashariki ya Harare.
Rais...
Kocha wa Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger, amesema
kuwa mshambulizi Mesut Ozil angali anajutia kukosa
kufunga penalti dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu
barani ulaya Bayern Munich jumanne iiyopita.
Ozil, mwenye umri...
An Algerian military transport plane has crashed in the north-east of the country, killing more than 100 people, Algerian media say.
The plane crashed in a mountainous area in Oum al-Bouaghi province, said private TV station Ennahar.
Its...
Arsenal's title challenge may not have fell flat on its face just yet after Manchester City's slight slip-up at Norwich, but their manager did take a tumble on his way back from the 5-1 defeat at Liverpool on Saturday.Arsene Wenger, so...
The official 16-day competition at the Sochi Winter Olympics begins Saturday when gold medals in five sports will be contested.
The Games in Russia's Black Sea resort city kicked off Friday with a glitzy opening ceremony featuring Russian...
Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amekamilisha uteuzi wa majina ya Wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba, litakaloanza vikao vyake Februari 18 mjini Dodoma.
Kupitia uteuzi huo amewarejesha bungeni wanasiasa wakongwe akiwamo Kingunge Ngombale...
Kiungo wa Manchester United jana amesherekea kufikisha miaka 19 kwa aina yake.
Ilikuwa ni siku njema kwake kusherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na kutwaa tuzo ya mashabiki ya mchezaji bora wa mwezi.
Siku ya kuzaliwa na Adinan...
Kuna uwezekano mkubwa wa Mario Baloteli kutua Arsenal dirisha lijalo baada ya kampuni ya PUMA kutia mkono wake.
Kampuni ya puma imesema iko tayali kutoa sehemu ya pesa ili Mario Baloteli atue kwa wamimina mitutu wa London.
PUMA inaidhamini...
Timu ya Manchester United imeweka wazi ratiba yake ya maandalizi ya msimu ujao 2014/2015.
Mkurugenzi mtendaji wa Manchester United Richard Arnold,ameweka wazi ratiba ya maandalizi ya msimu ujao.Ametangaza kwamba maandalizi hayo(pre-season...
IDD AMIN ALIKUWA NA AKILI SANA Soma hii...!!!
-
THIS IS EXCELLENT
[image: Iddi amin good ideology on education 1979s.HE SAID.those students
who scored -Division one (must Become TEACHERS -Division two (mu...
0 comments: