Feb 22, 2014

Wenger "Ozil ajutia kukosa penalti"

Posted at  2/22/2014  |  in  Michezo

Mesut Ozil

Kocha wa Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger, amesema

 kuwa mshambulizi Mesut Ozil angali anajutia kukosa

kufunga penalti dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu 

barani ulaya Bayern Munich jumanne iiyopita.

Ozil, mwenye umri wa miaka 25,alilazimika kuwaomba radhi mashabiki wa Arsenal kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook.
Ozil,alisajiliwa mapema msimu huu kwa kitita kikubwa zaidi na kocha Wenger.
Arsenal, inashikilia nafasi ya pili katika ligi kuu ya premia ya Uingereza ikiwa na jumla ya alama 56 moja nyuma ya vinara Chelsea .
Arsenal inaikaribisha Sunderland jumamosi katika uwanja wa Emirati .

Share this post

About Naveed Iqbal

Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Follow him on Google+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 mchambuzi@habari online. Blogger Template by Bloggertheme9
Proudly Powered by Blogger.
back to top