Msanii Chrisbrown amenusurika kifungo baada ya kuanzisha vurugu mtaani anakokaa.
Msanii huyo nguli wa midundo ya RNB na POP, alitupa tofali katika gari la mama yale na kuvunja vioo hali inayoonekana kama hatarishi kwa majirani wa Chris Brown.
Licha ya kufanya makosa hayo,mwendesha mashtaka alisema amebadilika tangu apewe adhabu ya kuitumikia jamii toka mwaka 2012 kwa kosa la kumpiga Rihana.
Kitendo hiki kinatokea siku chache tu baada ya msanii mwingine wa muziki wa pop Justin Bieber kupiga picha akimnyonya malaya matiti.
0 comments: