Habari iliyopamba magazeti ya Uingereza leo ni ya mpachika mabao wa Manchester Unite kurudi Arsenal.
Hilo limekuja baada ya mahusiano ya mdachi huyo na bosi wake David moyes kufifia kila kukicha.
Kikubwa zaidi ni kustaafu kwa Alex Ferguson na msaidizi wake mdachi Rene Meulensteen aliyefungiwa virago na David Moyes.
David Moyes ana mpango wa muda mrefu na Wyne Rooney na si Robin Van Persie, na ilo linaoneshwa na hali ya kumsihi Rooney asaini mkataba mpya na kuhamishia nguvu zote kwa mjerumani Ton Kroos.
Hatma ya Vanpersie Manchester United itaeleweka baada ya maamuzi ya Wyne Rooney na Toni Kroos.
Wchezaji wengine wanaotarajiwa kuondoka man U ni Rio Ferdinand, Patrice Evra, Nani and Ashley Young.
0 comments: