Goli pekee la Branislav Ivanovic limetosha kuipa Chesea ushindi.
Wakiwa katika vita ya kurudi kileleni, Manchester City imejikuta ikisimamishwa na Chelsea iliyochezesha viungo 3 wakabaji.
Timu zote zilishambuliana kwa zamu na kujaribu golini lakini bahati ikaangukia upande wa Ivanovic aliyeizawadia timu yake ushindi. Baada ya matokeo hayo Chelsea inalingana na Man City wakiwa na pointi 53 huku City tofauti kubwa ya magoli.
0 comments: