Timu ya Manchester United imeweka wazi ratiba yake ya maandalizi ya msimu ujao 2014/2015.
Mkurugenzi mtendaji wa Manchester United Richard Arnold,ameweka wazi ratiba ya maandalizi ya msimu ujao.Ametangaza kwamba maandalizi hayo(pre-season Tour) yatafanyika katiki nchi ya Marekani yenye mashabiki zaidi ya Millioni 8.
Ikiwa huko atashiriki michezo mbalimbali japo ratiba inaweza ikaharibika iwapo atacheza ligi ya Europa.
Wana kumbukumbu nzuri ya Marekani baada ya kwenda mwaka 2011.
0 comments: