Kuna uwezekano mkubwa wa Mario Baloteli kutua Arsenal dirisha lijalo baada ya kampuni ya PUMA kutia mkono wake.
Kampuni ya puma imesema iko tayali kutoa sehemu ya pesa ili Mario Baloteli atue kwa wamimina mitutu wa London.
PUMA inaidhamini timu ya Arsenal pamoja na Mario Baloteli.
Hii inaipa Puma nafasi kubwa kuwa na sauti juuu ya Baloteli,na huenda mpango wa PUMA wa kumpeleka Mario Baloteli Arsenal ukafanikiwa dirisha lijalo.
0 comments: