• HABARI MPYA

    Obama na Putin wajadiliana kuhusu Ukraine

  • HABARI MPYA

    Jack Wilshere nje wiki sita

  • MAKALA

    Cancer in relation to Herat Attack

  • MAKALA

    Diabetes Remedy

  • Feb 6, 2014

    Liverpool vs Arsenal

    Liverpool : Mignolet ; Flanagan , Skrtel , Toure , Cissokho ; Gerrard , Henderson , Coutinho ; Sterling , Suarez , Sturridge.

    Arsenal : Szczesny ; Sagna , Mertesacker , Koscielny , Gibbs ; Arteta , Rosicky ; Podolski , Ozil , Cazorla ; Giroud.

    Vikosi mechi ya Liverpool na Arsenal vyawekwa wazi

    Posted at  2/06/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Liverpool vs Arsenal

    Liverpool : Mignolet ; Flanagan , Skrtel , Toure , Cissokho ; Gerrard , Henderson , Coutinho ; Sterling , Suarez , Sturridge.

    Arsenal : Szczesny ; Sagna , Mertesacker , Koscielny , Gibbs ; Arteta , Rosicky ; Podolski , Ozil , Cazorla ; Giroud.

    Feb 5, 2014

    Adinan Zanuzaj
    Kiungo wa Manchester United jana amesherekea kufikisha miaka 19 kwa aina yake.
    Ilikuwa ni siku njema kwake kusherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na kutwaa tuzo ya mashabiki  ya mchezaji bora wa mwezi.
    Siku ya kuzaliwa na Adinan Zanuzaj ni sawa na nyota wengine kama:- Cristiano Ronaldo,Neymer na Carlos Teves.

    Adinan Zanuzaj

    http://uwanjawamichezo.blogspot.com/

    Manchesyer United:Adnan Zanuzaj atimiza miaka 19 kwa tuzo

    Posted at  2/05/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Adinan Zanuzaj
    Kiungo wa Manchester United jana amesherekea kufikisha miaka 19 kwa aina yake.
    Ilikuwa ni siku njema kwake kusherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na kutwaa tuzo ya mashabiki  ya mchezaji bora wa mwezi.
    Siku ya kuzaliwa na Adinan Zanuzaj ni sawa na nyota wengine kama:- Cristiano Ronaldo,Neymer na Carlos Teves.

    Adinan Zanuzaj

    http://uwanjawamichezo.blogspot.com/

    Picha ya Mario Baloteli

    Kuna uwezekano mkubwa wa Mario Baloteli kutua Arsenal dirisha lijalo baada ya kampuni ya PUMA kutia mkono wake.
    Kampuni ya puma imesema iko tayali kutoa sehemu ya pesa ili Mario Baloteli atue kwa wamimina mitutu wa London.

    PUMA inaidhamini timu ya Arsenal pamoja na Mario Baloteli.
    Hii inaipa Puma nafasi kubwa kuwa na sauti juuu ya Baloteli,na huenda mpango wa PUMA wa kumpeleka Mario Baloteli Arsenal ukafanikiwa dirisha lijalo. 

    Mario Baloteli kutua Arsenal?!

    Feb 4, 2014

    Mario Baloteli

    Mario Baloteli

    Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Italia Mario Baloteli akionesha staili mpya ya nywele.

    Angalia picha za Mario Baloteli akionyesha staili yake mpya ya nywele

    Posted at  2/04/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Mario Baloteli

    Mario Baloteli

    Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Italia Mario Baloteli akionesha staili mpya ya nywele.

    Picha ya wachezaji wa Manchester wakiwa mazoezini

    Timu ya Manchester United imeweka wazi ratiba yake ya maandalizi ya msimu ujao 2014/2015.
    Mkurugenzi mtendaji wa Manchester United Richard Arnold,ameweka wazi ratiba ya maandalizi ya msimu ujao.Ametangaza kwamba maandalizi hayo(pre-season Tour) yatafanyika katiki nchi ya Marekani yenye mashabiki zaidi ya Millioni 8.
    Ikiwa huko atashiriki michezo mbalimbali japo ratiba inaweza ikaharibika iwapo atacheza ligi ya Europa.
    Wana kumbukumbu nzuri ya Marekani baada ya kwenda mwaka 2011.

    Manchester United kuelekea Marekani kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao

    Posted at  2/04/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Picha ya wachezaji wa Manchester wakiwa mazoezini

    Timu ya Manchester United imeweka wazi ratiba yake ya maandalizi ya msimu ujao 2014/2015.
    Mkurugenzi mtendaji wa Manchester United Richard Arnold,ameweka wazi ratiba ya maandalizi ya msimu ujao.Ametangaza kwamba maandalizi hayo(pre-season Tour) yatafanyika katiki nchi ya Marekani yenye mashabiki zaidi ya Millioni 8.
    Ikiwa huko atashiriki michezo mbalimbali japo ratiba inaweza ikaharibika iwapo atacheza ligi ya Europa.
    Wana kumbukumbu nzuri ya Marekani baada ya kwenda mwaka 2011.

    Picha ya chris brown

    Msanii Chrisbrown amenusurika kifungo baada ya kuanzisha vurugu mtaani anakokaa.
    Msanii huyo nguli wa midundo ya RNB na POP, alitupa tofali katika gari la mama yale na kuvunja vioo hali inayoonekana kama hatarishi kwa majirani wa Chris Brown.
    Licha ya kufanya makosa hayo,mwendesha mashtaka alisema amebadilika tangu apewe adhabu ya kuitumikia jamii toka mwaka 2012 kwa kosa la kumpiga Rihana.
    Kitendo hiki kinatokea siku chache tu baada ya msanii mwingine wa muziki wa pop Justin Bieber kupiga picha akimnyonya malaya matiti.

    Chris Brown anusurika kifungo kwa kusababisha vurugu mtaani

    Posted at  2/04/2014  |  in  Udaku  |  Read More»

    Picha ya chris brown

    Msanii Chrisbrown amenusurika kifungo baada ya kuanzisha vurugu mtaani anakokaa.
    Msanii huyo nguli wa midundo ya RNB na POP, alitupa tofali katika gari la mama yale na kuvunja vioo hali inayoonekana kama hatarishi kwa majirani wa Chris Brown.
    Licha ya kufanya makosa hayo,mwendesha mashtaka alisema amebadilika tangu apewe adhabu ya kuitumikia jamii toka mwaka 2012 kwa kosa la kumpiga Rihana.
    Kitendo hiki kinatokea siku chache tu baada ya msanii mwingine wa muziki wa pop Justin Bieber kupiga picha akimnyonya malaya matiti.

    Vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika ya kati

    Kasisi mmoja huko Jamhuri ya Afrika ya kati anasema kuwa katika kipindi cha wiki moja takriban wakristo 75 wameuawa kutokana na ghasia baina ya vikundi vya kidini mjini Boda.
    Alielezea kwamba Waisilamu waliojihami kwa silaha kali waliweka vizuizi katika mipaka ya kuingia na kutoka mjini humo kabla ya kuwashambulia wakristo.
    Kasisi huyo ambaye amewapa hifadhi watu zaidi ya 1000 katika parokia yake alisema kwamba hajui ni waisilamu wangapi waliouawa kwa sababu miili yao ilizikwa muda mfupi baada ya kufa.
    Maelfu ya watu wameuawa tangu vita hivyo kuzuka baada ya mapinduzi ya kijeshi ya serikali mwaka uliopita.
    Kasisi Cassein Kamatari ametoa wito kwa majeshi ya kifaransa na yale ya Jumuia ya Africa kutoa usaidizi akisema kwamba watu wapatao 1500 wamepata hifadhi kanisani mjini Boda.
    Mapigano hayo yalianza wiki iliyopita wakati ambapo wanamgambo wa kiislamu walipoanza kutoroka kuelekea Kaskazini. Watu waliojiami na walioripotiwa kuwa Waisilamu waliwaangamiza anagalau wakristo 75, hii ni kwa mujibu wa Kasisi Kamatari.
    Ijapokuwa inakisiwa kwamba huenda Wakristo walihusika kwenye ghasia iazo, mengi kuhusu mapigano hayo bado hayajulikani.
    Hayo yakijiri,mkuu wa mkuu wa kitaifa wa shirika la Msalaba Mwekundu amesema kuwa hangeweza kuhakiki takwimu za waliofariki lakini alisema kwamba kuna kikosi kilichotumwa mjini Boda kutafuta miili ya watu.
    Alisema watu takriban 15 huuawa kila siku nchini humo.Hata hivyo kukizingatiwa idadi ya miji ambayo bado haijachunguzwa, idadi ya waliofaririki huenda ikawa ni zaidi.

    75 wauwawa vita ya kidini Jamhuri ya Afrika ya kati

    Posted at  2/04/2014  |  in  Habari  |  Read More»

    Feb 3, 2014

    Picha ya Branislav Ivanovic

    Goli pekee la Branislav Ivanovic limetosha kuipa Chesea ushindi.
    Wakiwa katika vita ya kurudi kileleni, Manchester City imejikuta ikisimamishwa na Chelsea iliyochezesha viungo 3 wakabaji.
    Timu zote zilishambuliana kwa zamu na kujaribu golini lakini bahati ikaangukia upande wa Ivanovic aliyeizawadia timu yake ushindi. Baada ya matokeo hayo Chelsea inalingana na Man City wakiwa na pointi 53 huku City tofauti kubwa ya magoli.

    Chelsea yaisimamisha Manchester City

    Posted at  2/03/2014  |  in  Michezo  |  Read More»

    Picha ya Branislav Ivanovic

    Goli pekee la Branislav Ivanovic limetosha kuipa Chesea ushindi.
    Wakiwa katika vita ya kurudi kileleni, Manchester City imejikuta ikisimamishwa na Chelsea iliyochezesha viungo 3 wakabaji.
    Timu zote zilishambuliana kwa zamu na kujaribu golini lakini bahati ikaangukia upande wa Ivanovic aliyeizawadia timu yake ushindi. Baada ya matokeo hayo Chelsea inalingana na Man City wakiwa na pointi 53 huku City tofauti kubwa ya magoli.

    Justin Bieber akimnyonya malaya matiti.

    Msanii wa mziki wa pop Justin Bieber, amepiga picha akiwa anamnyonya malaya matiti.
    Tukio hilo limefanyika katika studio moja ya mziki ilioko Los Angels Marekani.
    Ripoti za mwanahabari wetu zinasema kuwa Justin Bieber na mwenzie Khalil Sharieff walimwita binti huyo anaefanya kazi za kucheza huku akionyesha mwili wake katika kumbi za starehe aje kuwaburudisha kwa kucheza mziki.
    Akiwa anaendelea na tukio la kucheza mziki Justin na mwenzie walimwendea na kuanza kumnyonya matiti.
    Tukio hili linakuja wakati mbaya kwani Justin Bieber bado ana kesi ya kujibu baada ya kumpiga dreva mmoja wa gari alilokuwa amekodi.

    ONYO 18+

    Picha hii si salama kwa walio chini ya umri wa miaka 18, Kama uko chini ya umri wa miaka 18+, <<<BOFYA HAPA>>>  Kama una miaka 18+ au zaidi <<<BOFYA HAPA>>> Kuona picha.

    Picha za Justin Bieber akimnyonya malaya matiti zawekwa wazi.

    Posted at  2/03/2014  |  in  Udaku  |  Read More»

    Justin Bieber akimnyonya malaya matiti.

    Msanii wa mziki wa pop Justin Bieber, amepiga picha akiwa anamnyonya malaya matiti.
    Tukio hilo limefanyika katika studio moja ya mziki ilioko Los Angels Marekani.
    Ripoti za mwanahabari wetu zinasema kuwa Justin Bieber na mwenzie Khalil Sharieff walimwita binti huyo anaefanya kazi za kucheza huku akionyesha mwili wake katika kumbi za starehe aje kuwaburudisha kwa kucheza mziki.
    Akiwa anaendelea na tukio la kucheza mziki Justin na mwenzie walimwendea na kuanza kumnyonya matiti.
    Tukio hili linakuja wakati mbaya kwani Justin Bieber bado ana kesi ya kujibu baada ya kumpiga dreva mmoja wa gari alilokuwa amekodi.

    ONYO 18+

    Picha hii si salama kwa walio chini ya umri wa miaka 18, Kama uko chini ya umri wa miaka 18+, <<<BOFYA HAPA>>>  Kama una miaka 18+ au zaidi <<<BOFYA HAPA>>> Kuona picha.

    Heart Attack

    Having a heart attack leaves you at greater risk of developing cancer, a study has revealed.
    Patients diagnosed with heart failure between 1979 and 1990 had a 48 per cent increased risk of cancer, while patients diagnosed between 1991 and 2002 had an 86 per cent increased risk.
    However the researchers, from the Mayo Clinic Centre for the Science of Health Care Delivery in America, said that despite better heart survival rates, the rise in cancer detection might be down to increased surveillance or side effects.
    Researchers conducted the study using medical records from the Rochester Epidemiology Project, which links the inpatient and outpatient records from all providers used by the population of Olmsted County, Minnesota.
    The study included 596 patients with heart failure paired with the same number of similar healthy subjects.
    The research, published in Journal of the American College of Cardiology, looked at two 11-year time periods.
    Dr Roger and colleagues suggest several possible causes for the increased risk of cancer in heart failure patients, including side effects of cardiovascular treatments, or stress from illness or other mechanisms associated with the physiology of heart failure such as inflammation.
    Investigators stress the importance of the findings in the treatment and management of heart failure, concluding patients should be monitored closely for signs of cancer, the authors said.

    Heart attacks increase the risk of developing Cancer

    Posted at  2/03/2014  |  in  Makala  |  Read More»

    About-Privacy Policy-Contact us
    Copyright © 2013 mchambuzi@habari online. Blogger Template by Bloggertheme9
    Proudly Powered by Blogger.
    back to top