• HABARI MPYA

    Obama na Putin wajadiliana kuhusu Ukraine

  • HABARI MPYA

    Jack Wilshere nje wiki sita

  • MAKALA

    Cancer in relation to Herat Attack

  • MAKALA

    Diabetes Remedy

  • Dec 31, 2013

    arsenal yaandamwa na janga la majeruhi

    Posted at  12/31/2013  |  in  Michezo  |  Read More»

    Arsene Wenger kocha wa timu ya Arsenal Kocha Arsene Wenger amekiri kuwepo kwa janga la majeruhi Arsenal.Na ameongeza kuwa hali hiyo itaathiri mchezo unaofuata dhidi ya Cardiff City siku ya jumatan...

    0 comments:

    Dec 30, 2013

    tetesi za usajili ligi kuu England: soma hapa ;

    Posted at  12/30/2013  |  in  Michezo  |  Read More»

    Kiungo wa Arsenal Searg Nabri Boss wa Wigan  Uwe Rosler, anamuhitaji kiungo Mjerumani wa Arsenal  Gnabry. Hilo limekuja baada ya kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Low kudai kwamba kijana huyo mwenye umri wa mika 18...

    0 comments:

    yanga kusajili kocha mwingereza

    Posted at  12/30/2013  |  in  Michezo  |  Read More»

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Yanga, mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji na mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya kimataifa, Seif Ahmed ‘Magari’ walikwea pipa kuelekea mjini London kwa ajili ya kusaka kocha mpya wa timu hiyo...

    0 comments:

    Dec 29, 2013

    arsenal yaipiga newcastle 1 - 0

    Posted at  12/29/2013  |  in  Michezo  |  Read More»

    Oliver Gilroud akishangilia goli lake la pekee katka mchezo wa ligi kuu uingereza baina ya  Newcastle na Arsenal Bao la pekee la Olivier Giroud dhidi ya Newcastle limetosha kuirudisha Arsenal kileleni mwa ligi kuu ya uingereza. Arsenal...

    0 comments:

    TOM HUDDLESTONE ANYOA NYWELE ZAKE BAADA YA KUMALIZA UKAME WA MABAO

    Posted at  12/29/2013  |  in  Michezo  |  Read More»

    kiungo wa Hull City Tom Huddleston akinyolewa nywele na daktari wa timu Rob Price baada ya kuifungia timu yake goli Kiungo wa Hull City  Tom Huddlestone hatimaye alivunja ukame wake wa kupachika mabao, na kuamua kukata nyele zake. Mchezaji...

    0 comments:

    Dec 27, 2013

    RASIMU YA MAHAKAMA YA KADHI ZANZIBAR KUWASILISHWA

    Posted at  12/27/2013  |  in  Habari  |  Read More»

    jengo la ikulu ngodo zanzibar ilioko kiwebi wilaya ya magharibi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Rasimu ya Mahakama ya Kadhi imekamilika na inatazamiwa kuwasilishwa katika ngazi za makatibu wakuu kabla ya kufikishwa  kwenye...

    0 comments:

    Dec 26, 2013

    MAN UNITED ,ARSENAL NA CHELSEA ZAENDELEZA UBABE

    Posted at  12/26/2013  |  in  Michezo  |  Read More»

    Klabu ya Manchester United imetoka nyuma kwa mabao mawili na kushinda 3-2 dhidi ya Hull City Uwanja wa KC, huku mchezaji wa zamani wa Mashetani hao Wekundu James Chester akijifunga kuamua mshindi.Chester alitangulia kuifungia Hull...

    0 comments:

    Pinda Kuvunja Ukimya Baada ya Sikukuu

    Posted at  12/26/2013  |  in  Habari  |  Read More»

    Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu amesema atazungumzia hatima yake baada ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya...

    0 comments:

    Page 1 of 2412345Next
    About-Privacy Policy-Contact us
    Copyright © 2013 mchambuzi@habari online. Blogger Template by Bloggertheme9
    Proudly Powered by Blogger.