Arsene Wenger kocha wa timu ya Arsenal |
Kocha Arsene Wenger amekiri kuwepo kwa janga la majeruhi Arsenal.Na ameongeza kuwa hali hiyo itaathiri mchezo unaofuata dhidi ya Cardiff City siku ya jumatano.
Wenger ameweka wazi kwamba Olivier Giroud ataukosa mchezo wa Cardiff baada ya kuumia enka na ataungana na Mesut Ozil, Aaron Ramsey na Theo Walcott.
Wenger ameweka wazi kwamba Olivier Giroud ataukosa mchezo wa Cardiff baada ya kuumia enka na ataungana na Mesut Ozil, Aaron Ramsey na Theo Walcott.
Viungo Jack Wilshere (enka) na Tomas Rosicky (kifundo cha mguu), pamoja na Theo Walcott (bega), watapimwa kama wataweza kucheza katika mchezo wakati huo Thomas Vermaelen na Nacho Monreal waweza kuukosa mchezo huo baada ya kuugua.
0 comments: