Kwa maoni ya wadau wengi wa soka na mashabiki nguli wa Manchester, hiki ndio kikosi bora cha muda wote wa Ferguson akiwa Manchester United.
Tengeneza kikosi chako bora katika enzi za Fergie, Weka maoni yako hapa chi...
Kati ya michezo ya ligi kuu ya Uingereza isiyopendwa na kocha Arsene Wenger ni dhidi ya Chelsea ya Mourinho. Wakiwa mahasimu wakubwa, Bosi Arsene Wenger anahofu huenda Morinho akaifanya siku yake ikajawa na majonzi. Siku za hivi karibuni...
Magoli manne yametosha kuipeleka Arsenal nusu fainali ya FA itakayochezewa katika uwanja wa Wembley. Ikiwa inacheza na Everton mchezo ulionekana kuwa mgumu kwa Arsenal katika kipindi cha kwanza, japo mambo yalibadilika kipindi cha pili...
Afrika ya kusini imewaondoa wanadiplomasia watatu raia wa Rwanda ikiwahusisha na shambulizi dhdidi ya makazi ya kiongozi wa zamani wa Rwanda Kayumba Nyamwasa.
Taarifa zinabainisha kuwa Rwanda nayo imeamuru kuondolewa kwa wajumbe sita...
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Arsenal Jack Wilshere atakosa kucheza wiki sita baada ya kupata jeraha la mguu katika mechi aliyochezea England hapo juzi iliposhinda Denmark bao moja kwa bila. Kwa sababu hiyo atakosa mchuano wa FA wa robo...
Rais Obama amefanya mazungumzo zaidi ya kina na rais wa Urusi Vladmir Putin akisistiza kuwa vitendo vya nchi yake katika jimbo la Crimea ni ukiukaji wa mipaka na uhuru wa taifa la Ukraine.
Wakati wa mazungumzo yao ya pili kupitia njia...
Nahodha wa klabu ya Barcelona Carles Puyol ametangaza atawahama mabingwa hao wa Hispania mwishoni mwa msimu huu.
Puyol mwenye umri wa miaka 35 aliibukia kutoka vikosi vya vijana wa Barcelona na kujiunga na kikosi kikuu mwaka 1999.
Amewachezea...
Chatu akipigana na mamba mwenye urefu wa futi sita kaskazini mwa mlima Isa ulioko Outback Queensland
Mamba alibanwa na kufa papo hapo
Chatu akimmeza mamba baada ya kumuuwa
...
Waziri Mkuu wa Ukraine Arseniy Yatsenyuk anasema taifa lake liko katika hali ya hatari na ameishtumu Urusi kutangaza vita dhidi ya nchi yake. Wanajeshi wa Urusi kwa sasa wanapiga kambi katika mji wa Crimea ambao upo mpakani mwa mataifa...
Serikali ya Uganda imesema Bajeti yake ya mwaka huu wa 2014 haitaathirika ikiwa Mataifa ya Magharibi yatasitisha misaada ya kifedha kutokana na hatua ya rais Yoweri Museveni kusaini mswada unaopiga marufuku mapenzi ya jinsia moja nchini...
Kama ilivyokuwa imetarajiwa na wengi mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo la Oscar la mwigizaji msaidizi wa kike kwa jukumu lake la kuelezea masaibu ya Patseh katika filamu ya utumwa ya ''12 Years A Slave.''
Baada...
Santi Cazorla is set to become the third senior Arsenal player to agree a new contract.
The Spain midfielder has been in talks with club chiefs about signing an improved deal that will keep him at the Emirates Stadium until 2017 - his...
Kocha wa timu ya Chelsea ya England, Jose Mourinho ameshutumu tabia ya kurekodi kwa siri mazungumzo yake kuhusu wachezaji wa timu hiyo.
Mourinho amesema lilikuwa jambo la aibu kuona kwamba mazungumzo binafsi kuhusu wachezaji wa timu...
Wanamgambo wa Kiislam wa kundi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria wametuhumiwa kushambulia shule moja na kuwaua wanafunzi kadhaa.
Polisi nchini Nigeria wameliambia Shirika la Habari la Uingereza, Reuters kwamba wote waliouawa...
Maelfu ya watu wa Zimbabwe wamehudhuria sherehe rasmi za siku ya kuzaliwa Rais Robert Mugabe.
Bwana Mugabe ambaye ameongoza nchi tangu mwaka wa 1980, alipeperusha mabofu 90 katika uwanja wa michezo wa Marondera, mashariki ya Harare.
Rais...
Kocha wa Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger, amesema
kuwa mshambulizi Mesut Ozil angali anajutia kukosa
kufunga penalti dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu
barani ulaya Bayern Munich jumanne iiyopita.
Ozil, mwenye umri...
An Algerian military transport plane has crashed in the north-east of the country, killing more than 100 people, Algerian media say.
The plane crashed in a mountainous area in Oum al-Bouaghi province, said private TV station Ennahar.
Its...
Arsenal's title challenge may not have fell flat on its face just yet after Manchester City's slight slip-up at Norwich, but their manager did take a tumble on his way back from the 5-1 defeat at Liverpool on Saturday.Arsene Wenger, so...
The official 16-day competition at the Sochi Winter Olympics begins Saturday when gold medals in five sports will be contested.
The Games in Russia's Black Sea resort city kicked off Friday with a glitzy opening ceremony featuring Russian...
Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amekamilisha uteuzi wa majina ya Wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba, litakaloanza vikao vyake Februari 18 mjini Dodoma.
Kupitia uteuzi huo amewarejesha bungeni wanasiasa wakongwe akiwamo Kingunge Ngombale...
IDD AMIN ALIKUWA NA AKILI SANA Soma hii...!!!
-
THIS IS EXCELLENT
[image: Iddi amin good ideology on education 1979s.HE SAID.those students
who scored -Division one (must Become TEACHERS -Division two (mu...
0 comments: